Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakiwasha mishumaa wakati wa maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani, katika Makao Makuu ya kampuni hiyo, Dar es Salaam juzi. |
Meneja Mauzo wa TBL, John Mgega (kushoto) akimpatia zawadi mfanyakazi Khadija Maulid ambaye ni mmoja wa wafanyakazi walioamua kwa hiari yao kupima virusi vya ukimwi. |
Mama mhamasishaji vita dhidi ya UKIMWI, akimpatia zawadi ya bia mmoja wa wafanyakazi wa TBL. |
Wanakamati ya maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani, kwa upande wa TBL, wafanyakazi wa TBL, wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya waathirika wa Ukimwi. |
No comments:
Post a Comment