Mkurugenzi wa Bodi wa kampuni ya Richland Resources Tanzania Ltd, Emmanuel Ole Naiko akifafanua jambo kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Februari 03.12 wakati kampuni hiyo ilipotangaza kujiorodhesha katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE). Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi wa Richland Resources, Balozi Ami Mpungwe na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Udalali wa Hisa ya Vertex Securities, Peter Machunde. PICHA/JOHN BADI |
No comments:
Post a Comment