Tangazo

March 20, 2012

Ustaarabu unapokuwa ZEROOOO...

Mwananchi akinywa maji kwa kutumia mdomo kwenye bomba la maji safi katika kijiji cha Olkung'wado, baada ya kushikwa kiu akiwa kwenye mkutano wa kampeni za CCM huko Arumeru Mashariki hivi karibuni jambo ambalo si ustarabu hata kidogo na ni hatari kwa afya kwani bomba hilo hutumiwa na watu wengi.

No comments: