Promota wa mchezo wa masumbwi, Kaike Siraju (katikati), akiwainua mikono juu mabondia, Maneno Osward (kushoto) na Rashidi Matumla wakati wa kutambulisha pambano lao linalotarajiwa kufanyika siku ya IDD PILI katika Ukumbi wa Dar Live jijini Dar es Salaam. Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
No comments:
Post a Comment