Tangazo

September 13, 2012

Wapigapicha za Habari wapigwa msasa jijini Dar

Mkufunzi kutoka Flame Tree Media Trust (FTMT), Mwanzo Millinga akitoa mada wakati wa Warsha ya siku mbili ya Wapigapicha za Habari iliyoandaliwa na MP5 2011 Entertainment na kudhaminiwa na Benki ya NMB na PPF, katika Ukumbi wa Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam leo.CHINI: Ni mtiririko wa matukio mbalimbali ya warsha hiyo. PICHA/DAILY MITIKASI BLOG






No comments: