Tangazo

September 17, 2012

Ziara ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda -Misungwi

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kifungua Ofisi ya Msajili wa Ardhi ya Kijiji  Cha Matale wilayani  Misungwi akiwa katika ziara ya mkoa wa Mwanza Septemba 15,2012. Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza  MhandisI Evarest Ndikilo na wapili kulia ni Mbunge wa Misungwi, Charles Kitwanga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mmoja wasanii waliotumbuiza katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwenye uwanja wa mpira wa misungwi akiwa katika ziara ya mkoa wa Mwanza Septemba 15, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments: