Tangazo

January 16, 2013

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MWENYEKITI WA AU NA RAIS WA BENIN, BONI YAYI LEO

Rais Jakaya Mrisho akiongea na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) na Rais wa Benin Mhe Boni Yayi Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 16, 2013.PICHA NA IKULU

Rais Jakaya Mrisho na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) na Rais wa Benin Mhe Boni Yayi wakiongea katika mkutano na wanahabari Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 16, 2013.


Rais Jakaya Mrisho  na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) na Rais wa Benin Mhe Boni Yayi wakiangalia ngoma katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere baada ya mazungumzo yao  Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 16, 2013.


Rais Jakaya Mrisho akimuaga Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) na Rais wa Benin Mhe Boni Yayi katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa  Julius Nyerere  leo Januari 16, 2013.

No comments: