Tangazo

February 26, 2013

Mdau Stumai George aagwa rasmi DW Kiswahili

Naibu mkuu wa pili wa Idhaa za Kiswahili wa DW, Josephat Charo. akimpa mkono wa heri kwa furaha Mtangazaji Stumai George baada ya kumaliza muda wake wa mwaka mmoja kuhudumu kama mtangazaji DW.

Stumai George akipewa mazagazaga  na kulambishwa nondo ya bye bye  mama lakini uwe unakumbuka DW na Naibu mkuu wa pili wa Idhaa za Kiswahili wa DW, Josephat Charo mjini Bonn.

Wafanyakazi wa DW katika hafla fupi ya kwa heri ya kuonana  Stumai George ambae anarudi Star TV Dar es Salaam.

Wafanyakayi wa DW na Kicheko kinachoashiria dhahiri kwamba Stumai George pamoja na kuondoka lakini mwenzao wa dhati.

No comments: