May 3, 2013

Mazoezi Redd's Miss Kibaha yapamba moto

Mkufunzi wa Warembo wa Redd's Miss Kibaha Rehema Uzuwiya akizungumza na warembo hawo wakati wa mazoezi yao yanayo endelea katika ukumbi wa Vijana Kinondoni picha na www.burudan.blogspot.com

Warembo wa Redd's miss kibaha wakiwa katika pozi wakati wa mazoezi yao.

No comments:

Post a Comment