Tangazo

May 17, 2013

MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII, SSRA WATOA MISAADA KATIKA WODI YA WAZAZI YA CHIKANDE NA KITUO CHA WATOTO WENYE ULEMAVU WA AKILI CHA MIYUJI

Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano cha SSRA, Bi. Sara Msika akiwa amembeba mmoja kati ya watoto waliozaliwa katika Hospital ya Genera,  wodi ya wazazi ya Chikande mkoani Dodoma.

Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano wa SSRA, Bi. Sara Msika akikabidhi msaada wa shuka 100 na magodoro 30 katika wodi ya wazazi ya Chikande.
Wawakilishi wa Mifuko ya hifadhi ya jamii pamoja na SSRA wakikabidhi msaada wa vifaa vya ujenzi katika kituo cha kulea watoto wenye ulemavu wa akili cha Miyuji Cheshire mkoani Dodoma.

No comments: