Mjumbe wa Bodi ya Taasisi ya Sikoseli Tanzania, Mhe. Abdallah Mwinyi (kuli) akisalimiana na mwendesha baiskeli wa masafa marefu, Alan Knight katika hafla ya kuchangisha fedha ya ajili ya kusaidia elimu, afya na matibabu ya wagonjwa wa sikoseli nchini na pia ujenzi wa kituo cha ugonjwa huo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Alan hivi karibuni alishiriki mbio za baiskeli za KM 17,718 kutoka Cairo Misri hadi Cape Town nchini Afrika Kusini kwa ajili hiyo. Hafla hiyo iliyoandaliwa na Taasisi ya Sikoseli Tanzania ilifanyika jijini Dar es Salaam juzi. Katikati ni Mwenyekiti wa Taasisi hiyo, Grace Rubambey. |
No comments:
Post a Comment