Baadhi wa wafanyakazi wanawake wa NBC wakiwa katika hafla ya uzinduzi Mtandao wa Jukwaa la Wanawake Wafanyakazi wa benki hiyo (NBC-WNF), jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki |
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NBC wakibadilishana mawazo wakati wa sherehe za uzinduzi wa Mtandao wa Jukwaa la Wanawake Wafanyakazi wa NBC (NBC-WNF), jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. |
Viongozi wa Mtandao wa Jukwaa la Wanawake Wafanyakazi wa Benki ya NBC, wakipozi kwa picha muda mfupi baada ya kufanyika kwa uzinduzi rasmi wa mtandao huo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. |
No comments:
Post a Comment