Tangazo

May 16, 2013

Waziri Mkuu mstaafu Lowassa azindua kitabu cha Mtikisiko wa Uchumi

 Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa (kushoto), akizindua kitabu kipya kinachoelezea mtikisiko wa uchumi karne ya 2000 na kuendelea, kiitwacho 'The Economic Crisis of the 2000s and Beyond', Dar es Salaam LEO. Katikati ni Mtunzi wa kitabu hicho Dk. Prosper Ngowi na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni iliyochapisha kitabu hicho ya Matokeo Publishers &Printers, Rosemary Sokile.

 Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa (katikati), akizindua kitabu kipya kinachoelezea mtikisiko wa uchumi karne ya 2000 na kuendelea, kiitwacho 'The Economic Crisis of the 2000s and Beyond', Dar es Salaam leo. Kulia ni Mtunzi wa kitabu hicho Dk. Prosper Ngowi na Mchapishaji, Dk. Charles Sokile.

Baadhi ya wadau waloshiriki kwenye uzinduzi huo.

Dk. Ngowi akisaini moja ya vitabu vilivyonunuliwa leo. Kushoto ni Katibu Mkuu mstaafu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Balozi Juma Mwapachu. PICHA ZOTE NA KAMANDA MWAIKENDA

No comments: