Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Hawa Ghasia (kushoto) na Mwenyekiti wa ALAT , Dr. Didas Masaburi baada ya kufungua mkutano Mkuu wa ALAT kwenye Ukumbi wa Sundown Carnival jijinii Arusha, May 9,2013.. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
No comments:
Post a Comment