May 10, 2013

Waziri Mkuu Pinda afungua Mkutano Mkuu wa ALAT

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Spika wa Bunge, Anna Makinda kwenye uwanja wa ndege wa Kilimanjaro alikowasili  May 8,2013 ili kufungua mkutano Mkuu wa ALAT jijini Arusha, May 9, 2013. Spika Makinda pamoja na wabunge wengine walikwenda Arusha kujionea athari za mlipuko wa bomu kwenye Kanisa Kstoliki la Olasiti.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mbunge wa Singida  Mashariki, Tundu Lisu kwenye uwanja wa ndege wa Kilimanjaro alikowasili  May 8,2013 ili kufungua mkutano Mkuu wa ALAT jijini Arusha, May 9, 2013. Lisu pamoja na wabunge wengine walikwenda Arusha kujionea athari za mlipuko wa bomu kwenye Kanisa Kstoliki la Olasiti.Katikati ni Mbunge wa Igalula  Athumani Mfutakamba.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Hawa Ghasia  (kushoto) na Mwenyekiti wa ALAT , Dr. Didas Masaburi baada  ya kufungua mkutano Mkuu wa   ALAT  kwenye Ukumbi wa Sundown Carnival jijinii Arusha, May 9,2013.. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment