Tangazo

August 22, 2013

WAZIRI MKUU PINDA AONGOZA KIKAO CHA KUTATHIMINI 'BIG RESULT NOW'

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiongoza kikao cha  kutathimini` maeneleo ya Mkakati wa serikali wa Big Result now kwenye Ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Agosti 21, 2013. Wapili kulia ni Wazri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Mhongo, Watatu kulia ni Waziri wa Kilimo na Ushirika, Mhandisi Chiza  na kushoto ni naibu Waziri wa Maji, Dr. B. Mahenge.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: