Tangazo

November 1, 2013

SKYLIGHT BAND MWENDO NI ULE ULE SPIDI 120 NDANI YA THAI VILLAGE-MASAKI LEO USIKU


IMG_1143
Mwanamuziki wa Digna wa Skylight Band akitoa burudani kwa mashabiki wa Bendi hiyo sanjari na Mary Lucos pamoja na Aneth Kushaba AK 47 ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar Ijumaa iliyopita.
IMG_1157
Joniko Flower akishambulia jukwaa na kikosi kazi cha Skylight Band Ijumaa iliyopita ndani ya uwanja wao wa nyumbani Thai Village Masaki jijini Dar....Tukutane pale kati leo usiku kama kawaida.....!
IMG_1160
Aneth Kushaba AK47 akitoa burudani sambamba na Mary Lucos pamoja na Digna kwa mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita.
IMG_1191
Sony Masamba wa Skylight Band akijiachia na shabiki wake kwa raha zao.
IMG_1168
Sam Mapenzi a.k.a Asali ya warembo akifanya yake jukwaani juma lililopita ndani Thai Village.
IMG_1211
Mdau David akichiziki na Skylight Band.
IMG_1216
Familia ya Skylight Band ikisebeneka na Style ya "Yachuma chuma"....!
IMG_1233
IMG_1221
Twende kazi.......burudani ile ile njoo ushuhudie mwenye leo usiku pale Thai Village.
IMG_1231
Vijana wanapofanya kazi nzuri Motisha ni lazima kuwapa nguvu zaidi....!! Wapi mzee Eurooooooo...!!! Sogea pande hizi leo usiku.
IMG_1148
Familia ya Skylight Band.
IMG_1186
Kulia ni mdau Abubakar Abdul na marafiki zake ndani ya viwanja vya Thai Village kwenye muziki muzuri wa Skylight Band Ijumaa iliyopita na Ijumaa hii usikose mdau.
IMG_1178
Full kujiachia na Skylight Band.
IMG_1247
Mduara ulichezeka pia.
IMG_1249
IMG_1238
Unaruhusiwa kusheherekea Birthday yako na Skylight Band..... Utaimbiwa na kupigiwa makofi kama anavyofurahia mwanadada pichani....!
IMG_1240
Mrembo mwingine naye ambaye pia ni mdau mkubwa wa Skylight Band naye alikuwa akisheherekea birthday yake Ijumaa iliyopita.
IMG_1245
Mwingine na huyo........Kama unazaliwa leo unakaribishwa..... ndani ya Thai Village na Skylight Band.

No comments: