Tangazo

November 8, 2013

Wadau wa NHIF mkoani Ruvuma wakutana

Mkurugenzi wa Fedha, Mipango na Uwekezaji wa NHIF, Bw. Deusdedit Rutazaa (wa pili kushoto), akikabidhi shuka 80 kwa Mganga Mkuu wa Hospitali ya Peramiho, Dk. Mushi, ikiwa ni msaada uliotolew na mfuko huo katika hafa fupi iliyofanyika mkoani Ruvuma hivi karibuni. 
Bw. Rutazaa akitandika moja ya mashuka yaliyotolewa msaada katika Hospitali hiyo. 
Bw. Rutazaa na Meneja Matekelezo wa NHIF, Salome Manyama wakimjulia hali mgonjwa aliyelazwa katika wodi maalumu ya wagonjwa wanaolipiwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya hiospitalini hapo.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Mhe. Saidi Mwambungu akifungua mkutano wa wadau wa NHIF wa mkoa wa Ruvuma katika Ukumbi wa Manispaa mjini Songea. 
Wadau wa NHIF  mkoa wa Ruvuma wakifuatilia mada.
Kaimu Meneja wa NHIF mkoa wa Ruvuma akiwasilisha mada katika mkutano wa wadau. PICHA ZOTE/ANDREW SINGU WA NHIF 

No comments: