![]() |
Bw. Rutazaa akitandika moja ya mashuka yaliyotolewa msaada
katika Hospitali hiyo.
|
![]() |
Bw. Rutazaa na Meneja Matekelezo wa NHIF, Salome Manyama
wakimjulia hali mgonjwa aliyelazwa katika wodi maalumu ya wagonjwa wanaolipiwa
na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya hiospitalini hapo.
|
![]() |
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Mhe. Saidi Mwambungu akifungua mkutano
wa wadau wa NHIF wa mkoa wa Ruvuma katika Ukumbi wa Manispaa mjini Songea.
|
![]() |
Wadau wa NHIF mkoa wa Ruvuma wakifuatilia mada. |
![]() |
Kaimu Meneja wa NHIF mkoa wa Ruvuma akiwasilisha mada katika
mkutano wa wadau. PICHA ZOTE/ANDREW SINGU WA NHIF
|
No comments:
Post a Comment