Waziri Mkuu Pinda akutana na Balozi wa Poland nchini
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Poland nchini, Mhe. Marek Ziolkowskoi kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es salaam, Oktoba 13, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment