Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa Jaji mstaafu, Antony Bahati nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam. Mazishi ya jaji Bahati yatafanyika kesho Juni 2 katika makaburi ya Kinondoni. (Picha na Francis Dande)
Baadhi ya waombolezaji.
Ndugu na jamaa wakiwa nyumbani kwa marehemu jaji mstaafu Antony Bahati.
Waombolezaji wakiwasili nyumbani kwa marehemu.
Jaji Antony Bahati enzi za uhai wake.
Waombolezaji wakiweka sahihi kitabu cha maombolezo.
Mwili wa Jaji mstaafu Antony Bahati ukiwasili nyumba kwake Oysterbay ambapo mazishi yatafanyika kesho Juni 2 katika makaburi ya Kinondoni.
Mwili wa marehemu ukiwasili nyumbani.
Watoto wa marehemu wakiwa na huzuni mara baada ya mwili kuwasili nyumbani.
Mwili ukiwa umehifadhiwa nyumbani.
No comments:
Post a Comment