Tangazo

August 17, 2015

DJ MNIGERIA KUFANYA ONYESHO NA KUTOA MSAADA KWA JAMII JIJINI DAR


 Mtengenezaji wa muziki, mtunzi wa nyimbo na DJ raia wa Nigeria anayefanya kazi zake nchini Marekani Bi. Florence Ifeoluwa maarufu kama DJ Cuppy akizungumza na waandishi wa habari katika hoteli ya Slipway jijini Dar
Waandishi wa habari wakiwa kazini.

No comments: