Mgeni rasmi katika Uzinduzi wa Kariakoo family Development Foundation Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi polisi mstaafu Jamal Rwambow akiogea machache na amekitaka chama hicho kujali maendeleo ya jamii ya cha hicho kinachowajumuisha wzawa na waliowahi kuishi na wanaoishi eneo lote la Kariakoo jijini Dar es salaam kwa lengo la kushirikiana mambo mbalimbali ya limaendeleo na kijamii.
Mwenyekiti wa kariakoo family development fund mh.mohamed bhinda akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika hivi karibuni katika Ukumbi wa City Lounge jijini Dar es Salaam.
Picha ya Pamoja ya Wanakariakoo na Mgeni Rasmi.
No comments:
Post a Comment