Mkurugenzi wa Airtel, Bw. Sunil Colasso akiwa na baada ya
wafanyakazi kabla ya kushiriki futari iliyoandaliwa na Airtel kwaajili ya
wafanyakazi wake.
|
Baadhi ya wafanyakazi wa Airtel wakishirikia katika futari
iliyoandaliwa katika ofisi za Airtel Makao Makuu Morocco jijini Dar es Saalam.
|
DAR ES SALAAM
Kampuni ya simu za mkononi ya
Airtel mwishoni mwa wiki imeshiriki na wafanyakazi wake katika kufutu wakati
huu wa msimu wa Ramadhani.
Airtel imekuwa na mpango huo wenye lengo
la kuungana na wafanyakazi wao waislamu katika mwezi huu mtufuku kila mwaka.
Mbali na kufuturisha wafanyakazi kampuni
ya simu ya Airtel kwa mwaka huu pia imefikia watoto zaidi ya 500 kutoka katika
vituo vya kulelea watoto walio katika mazingira magumu nchini katika
mikoa ya Arusha, Dar, Mbeya, Mwanza, Dodoma.
lengo
likiwa ni dhamira
yetu ni kuendelea kugusa maisha ya watoto hawa na kuwafanya wajisikia kuwa
sehemu ya familia ya Airtel”.
No comments:
Post a Comment