PENUEL Maana yake ni mahala pa Kukutana na Mungu uso kwa uso na nafsi
yako ikabaki salama, hii ni kulingana na Mwanzo 32:30 kwa kile kilicho
mtokea Yakobo,Kongamano la Penuel linamahanisha mahala pa kukutana na
Mungu kupitia Neno lake linalo hubiriwa na watumishi wake mbalimbali
kulingana na maelekezo juu ya watu wa Mungu!
Katika Kongamano
hili la PENUEL 2016 litajumuisha wanenaji kutoka nje ya Tanzania na
ndani ikiwemo Arusha,Afrika Kusini,Mbeya, DRC, Kenya, Cameroon n.k
Mwenyeji
wa PENUEL 2016 Apostle Onesmo Ndegi na Lilian Ndegi. Pia wanenaji
wengine kutoka Tanzania ni Askofu Emmanuel Tumwidike kutoka Mbeya na
Bishop Olam Mustapha kutoka Arusha. Kutoka Kenya ni Bishop Tengu Yoka na
kutoka Africa Kusini ni Dr.Apostle Peter Muteba pia kutoka Cameroon
tunaye Bishop Angela Acha-Morfaw na Apostle Israel Abam kutoka Nigeria.
Mahali ni Living Water Centre Kawe, Dar es salaam, Tanzania Uzinduzi wa
Kongamano ilikuwa ni leo siku ya Jumanne kuanzia saa 8:00 mchana,siku
zinazofuata ni kuanzia saa 3:00 asubuhi mpaka saa 12 Jioni.Karibu
Ukutane na Mungu kupitia Neno kupitia watumishi wake! Barikiwa!
Theme: Transformation Romans 12:2
Source:gospelhabari.blogspot.com
No comments:
Post a Comment