Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
amesimama wakati wimbo wa Taifa ulipokuwa ukipigwa uwanjani hapo.
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride. |
Vikosi
mbalimbali vya Majeshi vikipita mbele ya mgeni Rasmi kwa mwendo wa pole na
Haraka katika sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa
Uhuru jijini Dar es Salaam.
|
No comments:
Post a Comment