Hivi ndivyo ajali ilivyotokea baada ya Basi la Hood lililokuwa likitoka mkoani Mbeya kwenda arusha kugongana uso kwa uso na Lori lililokuwa limebeba mafuta ya kula tani 24 likitoka Morogoro kwenda Songea jana kwenye Barabara ya iliyopo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Mikumi mkoani Morogoro. Watu watano walifariki na 41 kujeruhiwa. Source: Michuzi.blog |
No comments:
Post a Comment