Tangazo

August 19, 2011

KINYWAJI BORA CHA GRAND MALT SASA KATIKA CHUPA YA MILILITA 330

Viongozi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) wakigonganisha chupa za Grand Malt katika uzinduzi wa kinywaji hicho leo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko wa TBL, David Minja, Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa TBL, Editha Mushi, Meneja wa Grand Malt, Consolata Adam na Meneja Masoko wa kinywaji hicho, Fimbo Butala.

No comments: