Meneja Mahusiano ya Serikali wa Zantel, Charles Jutta (kushoto) akimkabidhi Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu wa Zanzibar, Hamad Masoud Hamad luninga ambazo zitafungwa kwenye chumba cha kupokea wageni rasmi na chumba cha wanaosafiri katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar wakati wa hafla fupi iliyofanyika mjini Zanzibar juzi. Msaada huu ni sehemu ya mchango wa Zantel wa mradi unaoendelea wa kisasa wa uwanja wa ndege wa Zanzibar. |
No comments:
Post a Comment