Tangazo

August 15, 2011

Taifa la Kesho...?!

Akiwa mwenye sura ya kukata tamaa... Mtoto huyu alinaswa na kamera ya Daily Mitikasi akisubiri wateja wa kahawa katika Mtaa wa Kisutu jijini Dar es Salaam.

No comments: