Tangazo

August 15, 2011

Wafanyakazi 207 wa Kiwanda cha Iron Steel watimuliwa baada ya kudai nyongeza ya Mishahara

Mwenyekiti  wa Wafanyakazi wa  Kiwanda cha kuyeyusha chuma chakavu (scrapers) Iron Steel, Raina Mwanyamba akizungumza wakati wa mkutano wao wa kujadili kufukuzwa kazi kwa kudai nyongeza ya mishahara ambapo wafanyakazi 207 wamefukuzwa bila kufata taratibu za kazi.

Mmoja ya Wafanyakazi wa kiwanda hicho, Omari Salum uakizungumza wakati wa kikao hicho.

Baadhi ya wafanyakazi wa  kiwanda cha kuyeyusha chuma chakavu (scrapers) Iron Steel  wakiangalia makabrasha mbalimbali kabla ya kuanza kwa kikao hicho.



No comments: