![]() |
| Dk. Dalaly akisaini matokeo. Kushoto ni Msimamizi wa Uchaguzi Igunga, Protace Magayane. |
![]() |
| Katibu Mkuu wa CCM Mukama akimshika Dk. Dalaly wakati matokeo yakitangazwa. |
![]() |
| Protace Magayane akitangaza matokeo. |
![]() |
| Dk. Kafumu akipongezwa na mkewe wake, Maria Magdalena Kafumu. |
![]() |
| Dk. Kafumu akibebwa baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa Ubunge jimbo la Igunga. |
![]() |
| Msimamizi wa Uchaguzi, Protace Magayane akimpongeza Dk. Kafumu baada ya kumtangaza na kumkabidhi cheti cha ushindi wa ubunge. |
![]() |
| Dk. Kafumu akionyesha cheti chake cha ushindi. |
![]() |
| Baadhi ya viongozi wa CCM, wakishangilia baada ya Dk. Kafumu kutangazwa amshindi. Watatu ni Katibu wa NEC Oganaizesheni, Asha Abdallah Juma. |
![]() |
| Hali ya upigaji kura. |
![]() |
| Fomu ya washindi. |










No comments:
Post a Comment