Tangazo

September 14, 2011

AJALI YA NDEGE MBEYA KATIKA PICHA

Ndege ndogo yenye namba  9J-BIO SESINA 206, ikiwa imeanguka majira ya saa tatu asubuhi katika eneo la Nanenane Uyole jijini Mbeya.

Abiria wa ndege hiyo wakiwa katika nyuso za furaha baada ya kunusurika kifo.


Rubani wa ndege hiyo, Jver Waak (49), akipatia huduma ya kwanza.Picha kwa hisani ya Mbeya Yetu Blog

No comments: