| Makamu Mwenyekiti wa Namanga Sports Club, Olestick Lembo 'Mjomba Ole' akishiriki zoezi hilo. |
| Mhazini wa Namanga Sports Club, Michael Juma 'Mo-Power' akishiriki zoezi hilo. |
| Mdau wa michezo Namanga akitolewa damu. |
| Mshauri wa Masuala ya Habari na Mawasiliano wa Namanga Sports Club ambaye pia ndie Mmiliki na Mhariri Mkuu wa Blogu hii, Bw. John Badi akishiriki zoezi hilo. |
No comments:
Post a Comment