Tangazo

September 14, 2011

JAPAN YAIPIGA JEKI TANZANIA MBOLEA YA BILIONI 8.1

Balozi wa Japan nchini, Hiroshi Nakagawa (kulia) akimkabidhi Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Prof. Jumanne Maghembe mfuko wa mbolea aina ya DAP ikiwa ni sehemu ya msaada wa tani 6,000 za mbolea yenye thamani ya Bilioni 8.1/-  katika hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.

No comments: