Tangazo

October 25, 2011

KADA WA CCM, JAFFER SABODO ATOA MSAADA WA KUCHIMBA VISIMA - SINGIDA MJINI

Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), John Chiligati (kulia) akikabidhi hundi ya milioni 70/- kwa Mwakilishi wa kampuni ya PNR Services Limited, Dasharath Reddy zilizotolewa msaada na Mfanyabiashara Jaffer Sabodo kwa ajili ya kuchimba visima 10 vya maji katika Jimbo la Singida Mjini  mkoani Singida. Katikati ni Mwakilishi wa Mbunge wa Singida Mjini, Mohammed Dewji, Esther Dotto katika hafla fupi iliyofanyika nyumbani kwa Sabodo, Upanga jijini Dar es salaam, Oktoba 20, 2011.

No comments: