Tangazo

October 25, 2011

Wafanyakazi Citibank waahidi kupambana ili kutokomeza Vifo vya Kinamama na Watoto wakati wa Kujifungua

Meneja Uhusiano wa Citibank, Frank Kallaghe (kulia) akikabidhi vifaa vya matibabu ambavyo ni  'oxygen concentrator , two examination tables, two examination sreens, two examination lights, two B.P machines and 10 delivery kits' vyenye thamani ya milioni 9m/- kwa Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala, Dk. Sophinias Ngonyani ikiwa ni mchango wa wafanyakazi wa benki hiyo jijini Dar es Salaam kwaajili ya kusaidia  wakati wa uzazi ili kupunguza vifo vya kinamama na watoto wakati wa kujifungua. Kulia ni Katibu wa Klabu ya Citibank, Emma Mwenda. PICHA ZOTE/JOHN BADI WA DAILY MITIKASI BLOG
Wafanyakazi wa Citibank (kulia), wakikabidhi vifaa mbalimbali vya matibabu vyenye thamani ya milioni 9/- kwa Uongozi wa Hospitali ya Mwananyamala (kushoto) katika makabidhiano yaliyofanyika hospitalini hapo jijini Dar es Salaam.
FK na Coretha wakiwa katika viwanja vya hospitali ya Mwananyamala.
FK akishusha moja vifaa hivyo huku akisaidiwa na Coretha.
Hapa ilikuwa ni wakati wa Brief, Mganga Mkuu wa Hospitali hiyo, Dk. Ngonyani akitoa yake machache.
Naye Kallaghe alipata wasaa wa kueleza kile kilichowapeleka pale.
Dk. Ngonyani akitoa maelezo kwa wafanyakazi wa Citibank wakati alipowatembeza kwenye Wadi ya wazazi.
FK na Muuguzi Mkuu wa Hospitali hiyo, Clara Mwita (kushoto) wakiongoza msafara kukagua Wadi mpya ya Wazazi na Watoto, ambayo misaada iliyotolewa na Citibank inatarajiwa kuelekezwa katika wadi hiyo. 
Hapa ilikuwa ni katika wadi ya watoto wachanga  huku Katibu wa Hospitali hiyo, Edwin Bisakala akitoa maelezo kuhusu vitanda maalu kwa jili ya watoto wanaozaliwa kabla ya muda wao 'Njiti' (baby Incubator).
Wafanyakazi wa Citibank wakiwa katika Wadi mpya ya Wazazi na Watoto, ambayo misaada waliyoitoa inatarajiwa kuelekezwa katika wadi hiyo. 
Hapa ilikuwa ni majumuisho.

No comments: