Tangazo

November 29, 2014

NACTE INTER COLLEGE TANZANIA 2014/2015 - SEASON TWO





VYUO NANE UWANJA WA USTAWI WA JAMII KIJITONYAMA

Kampuniya Miss Demokrasia Tanzania & Entertainment C.o Ltd kwa kushirikiana na kituo bora cha Matangazo TIMES FM 100.5 kwa pamoja wanakuletea bonanza la vyuo SEASON TWO itakayofanyika katika viwanja vya ustawiwajamiikijitonyamasikuyajumamosi wiki hiitarehe 29/11/2014.
 

Vyuombalimbalivya NACTE mkoawadares salaam, vinatarajiakuchuanakatika bonanza la hilolitakalokuwanamichezoyasoka, Basketball, Voleyballna netball, ikiwanisehemuyapiliyamchujowakutafutatimuzitakazoshirikiligiya NACTE Tanzania katikamsimuwa 2014/2015,baadayasehemuya kwanza kumalizikakwenyechuo cha DIT Mwishonimwajumanakuhusishavyuombalimbalivya Dar es salaam.

Sehemuyapiliambayoimepangwakufanyikakatikauwanjawaustawiwajamiikijitonyamajumamosiyatarehe 29 mwezihuuinatarajiakuwayakusisimuakutokananaMichuanohiiyaMtoanokuwakivutiokwaWachezajinaMashabikiambaowengiwaoniwanafunzikutokavyuombalimbaliwanaofikakushuhudiamichuanohiyoinayoendeshwakwaubunifuwahaliyajuu.

Timu zinazochuana juma hili ni pamoja na Institute of Adult Education, Institute of Social Work (ISW) - DSM, Lugalo Military Medical School - Dsm, St. Joseph  College (University), Dar es salaam City College (DACICO, Dar-es-Salaam School of Journalism (DSJ) - DSM, National Institute of Transport (NIT) - DSM, Bandari College - DSM,huku timu mwalikwa ikiwa ni Timu ya wafanyakazi wa PPF Dsm.

 

Timuzilizofanikiwakuingiahatuayapili wiki iliyopitakwaupandewasokani Chuo cha IFM waliofanikiwakuwafunga DIT katikafainalikwanjiayapenaltbaadayatimuhizokumalizadakika 90 bikakufungana, kablayakutingahatuahiyoyafainalikikosi cha IFM kilifanikiwakuwafunga CBE katikamchezowa kwanza kwa 2-1 wafungajiwamagoliwakiwaniGodlistenKessyaliyepachikamabaoyotemawilidakikaya 15 kipindi cha kwanza nadakika 51 kipindi cha pilihukubao la CBE likiwekwawavuninaMwendoSitenamchezouliochezeshwanamwamuziMussa Charles.

Wakati DIT wakafanikwa kutingafainalibaadayakuwafungaMuhimbilikwa bao 1-0, TRA ikaambulia kipigo cha mabao 2-0 kutokakwa Times, wakatiVoleyballwanaume CBE waliibukakidedeadhidiyawenyeji DIT, huku David Davicakiibuka (Best Spiker), DickisonBenjaminiwa DTI, aliibuka (Best Broker), Gideon Joseph wa IFM aliibuka (Best Recever), Joseph Mafuruwa CBE aliibuka (Best Seter), Daniel Msambusiwa DIT aliibuka (Best Rebelo), na MVP katikaufunguzihuoakiwaninyotawa CBE SamweliKitime.

Kwaupandewampirawamikono netball pia IFM ilijidhiilishakuwakijoo cha mjinibaadayakufuatanyayoza kaka zaokwakuwafungachuo cha DIT kwa 19 dhidiya 14 hukuwafungajikatikamchezohuowakiwani Sarah Shaaban aliyefungamagoli 12(GS) naTeckila teas akifunga 7 (GA) katikamchezowaFainalipiauliofanyikakwenyeviwanjavya DIT.

CBE piailimg’arakatikamchezowaKikapu(Basketball) kwaupandewawanaumebaadayakuwafunga DIT katikamchezowaFainalikwavikapu 51-37 ambapowahezajiwaliong’araniSareheRamadhani, Evance David, Edger Mwakasehukukwa DIT waking’arawachezajiEvanceKamolana Charles Poul.

Michuanohiyoya  NACTE INTER COLLEGE TANZANIA imeanzasikuyajumamositarehe 22/11/2014 ikiwaniufunguziambapovyuovilivyohusikakatikaufunguzihuonipamojanaIFM, DIT, TRA, MUHIMBILI, CBE, ROYAL, MLIMANI ProfesianalnatimuMwalikwa Times Fm 100.5.

Aidhavyuovyotevinavyohusikanamichezoya wiki hiizimetakiwakuwahiViwanjaniilikukamilishataratibuzaukaguzikablayamichuanohiyoyamtoanokuanzanaikumbukwekwambamichuanohiyoinaendeshwakwamfumowa Bonanza nainafanyikakilasikuzajumamosikutokananawanafunzikuwamasomonikatikasikuzakawaida.

kilamwakamichuanohiiitakuwaikifanyikakwakushirikishavyuombalimbalivyaelimuyakatihapanchini Tanzania navilivyopatausajiliwakudumuwa NACTEambapo Kanda mbalimbaliza Tanzania kupitiavyuovyaovitashindanakatikamichezombalimbalikwawavulananawasichana

nivyuo 32 tuvitakavyokuwavikishirikibaadayakufanyamchujowaawalikwanjiaya Bonanza naTimumbilizajuukila BONANZA ndizozitakazokuwazikiingiakatikaidadiyavyuo 32 vya NACTE ITER COLLEGE DAR ES SALAAM.

Ukiachiliambalimichezohiyo, michezomingineitakayokuwaikifanyikakatiyawanafunzinawanafunzini DEBATE, Marathon, Modoling, MashindanoyaVipajikwaviongoziwanaosimamiaserikalizawanafunzikwanafasizaRaisnaMakamu, WaziriMkuu, MawaziriwaMichezo,Fedha,  naSpika , watakaokuwawakichuanakatikakujielezea, kujibumaswali, nakuelezeaMadakatikanafasizaonachangamotowanazokabiliananazonawashindiwatakuwawakipatatuzombalimbalikulingananaushindiwakilammoja.

 

Wadhaminialiojitokezampakasasanakuonyeshaniayakusaidiamashindanohayonipamojana Coca Cola, Vodacom, MLONGE BY MAKAI, CXC –Tours,na 100.5 Times Fm. lakinihatahivyodirisha la wadhaminibadolikowazikwamaanabadogharamanikubwazauendeshajiambapowajitokezewawezekusaidiamichezohiiiliyoanzakwashamrashamranyinginakuwanamvutokwawatazamajiususaniwanafunziwavyuombalimbaliwaliojitokeza.

 

Season TWO -ISW -ground Kijitonyama29/11/2014

Institute of Adult Education



St. Joseph  College (University).

Dares salaam City College (DACICO





Season THREE -Njuweni ground Kibaha6/12/2014











Season FOUR – UDSM - ground –UBUNGO 13/12/2014










NSSF

Imetolewa na Katibu Mkuu Kamati ya Mashindano NACTE Inter College Tanzania

Halima Bakari. +255-767-869133,




 

No comments: