Tangazo

September 11, 2015

Wateja wa Airtel 'Jiongeze na Mshiko' wazidi kushida Mamilioni ya Pesa

Afisa uhusiano na matukio, Bi Dangio Kaniki akiongea na mshindi 
aliyepatikana wakati wa kuchezesha droo ya saba ya wiki ya promosheni 
ya "Jiongeze na Mshiko" ambapo wateja wawili wa Airtel kutoka mikoa ya Kigoma na Dar es Salaam walipatikana akichukua taarifa za mshindi 
(kushoto) ni mkaguzi kutoka bodi ya michezo ya kubahatisha bwana 
Bakari Majid droo hii imechezwa jana katika makao makuu ya Airtel 
Moroco jijini Dar es saalam, Jumanne Septemba 1 2015.
Afisa Uhusiano na Matukio wa Airtel Tanzania, Dangio Kaniki (kushoto) akikabidhi shillingi millioni tatu kwa mshindi wa droo ya sita ya promosheni ya “Jiongeze na Mshiko”, Rajabu Mwalapinga (kulia), mkazi wa Dar es Salaam.

XXXXXXXXXXXXXXXXXXHivyo aliwahimiza watanzania kuchukua fursa hii waliopatiwa na Airtel kujiinua kiuchumi Hadi sasa, promosheni ya “Jiongeze na Mshiko” ya Airtel imewafanya watanzania 16 mamilionea. Mamilionea zaidi wanategemewa kutokea katika promosheni hii iliyoanzishwa wiki saba zilizopita.

 Vile vile Airtel imewazawadia fedha taslimu washidi wa droo ya saba, ambao ni, Geri William kutoka Dar es Salaam na Lui Saulo Karunda, mkazi wa Kigoma.

Wateja wanaweza kujinga na promosheni hii bure kwa kutuma ujumbe wenye neno "BURE" kwenda namba 15470, na kisha kuanza kupokea maswali kwenye simu zao na kujibu maswali bure bila gharama yoyote na kujikusanyia pointi.

 Mteja atakapomaliza kujibu maswali ya bure atapata ujumbe utakaomuuliza kama angependa kujiunga na ngazi ya premier, ili
kuwezeshwa kufunguliwa maswali zaidi na kujikusanyia pointi nyingi kwa zawadi zenye thamani kubwa.

No comments: