Tangazo

October 25, 2011

KATIBU MKUU WA CCM, WILSON MUKAMA AKUTANA NA BALOZI WA CHINA LEO

Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akimkaribisha Balozi wa China nchini, Liu Xinsheng, mgeni huyo alipomtembelea ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo.
Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukana akizungumza na Balozi wa China hapa nchini, Balozi huyo alipomtembelea Ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,  Lumumba jijini Dar es Salaam, leo.

No comments: