Tangazo

October 10, 2011

"MFALME WA BIA" PILSNER ICE LAGER YAZALIWA UPYA @ NEW MAISHA CLUB

Hongereni Serengeti Breweries.Makofi ya kuashiria furaha ya uzinduzi.
Cheers to everybody.........Mfalme amerudi tena..... Imechujwa kwa ubaridi kukupa ladha safi kabisa.
Mmoja wa Innovation Team akigonga cheers na Mgeni rasmi baada ya uzinduzi rasmi.
Mkurugenzi wa Mauzo SBL Bw. Segun Macalauy (kushoto), Mkurugenzi wa Mahusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Serengeti Breweries Bi. Teddy Mapunda (katikati) na Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya hiyo Ephraim Mafuru wakibadilishana wakati wakimsubiri mgeni rasmi kuwasili pamoja na wageni waalikwa
Innovation Team katika picha ya pamoja. Hongereni kwa kazi nzuri.
Mkurugenzi wa Mahusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Serengeti Breweries Bi. Teddy Mapunda akimkaribisha mgeni rasmi.
Mgeni rasmi Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Profesa Jumanne Maghembe akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi rasmi wa bia hiyo.Wanaoshuhudia tukio hilo ni  Mkurugenzi wa Mahusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Serengeti Breweries Bi. Teddy Mapunda (wa pili Kulia) Mkurugenzi wa Masoko Bw. Ephraim Mafuru na Brand Manager Pilsner Lager Maurice Njowoka.
Sasa imezinduliwa rasmi.

No comments: