Tangazo

November 2, 2011

WAZIRI MKUU PINDA AFUNGUA MKUTANO WA LAPF NA AKUTANA NA MWAKILISHI WA WFP NCHINI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi ya  LAPF,  Profesa Hassan Mlawa  (katikati)  na Mkurugenzi Mkuu wa LAPF, Eliudi Sanga baada ya kufungua mkutano wa Wadau wa LAPF kwenye ukumbi wa Hoteli ya Kunduchi jijini DAr es salaam Novemba 2, 2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Katibu Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa Afrika Mashariki na Kati, Bibi Margaret Osure (katikati) ,  Mkurugenzi Mkuu wa LAPF, Eliudi Rust, Kenya, Rosemary Maina (kushoto) na Meneja wa Retirement Benefits Authority wa Kenya, Machira Charles (wapili kushoto) baada ya kufungua mkutano wa Wadau wa LAPF kwenye ukumbi wa Hoteli ya Kunduchi jijini DAr es salaam Novemba 2, 2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana  na Mwakilishi wa WFP nchini, Bw. Richard Regan , kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Novemba 2, 2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwakilishi wa WFP nchini, Bw. Richard Regan , Ofisini kwake jijini Dar es salaam Novemba 2, 2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: