Tangazo

January 2, 2012

Maelfu wamzika Mtangazaji wa BBC, Marehemu John Ngahyoma

Mjane wa aliyekuwa Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji la BBC, marehemu John Ngahyoma, Bi. Faidh Ngahyoma akiweka shada la maua kwenye kaburi la mumewe wakati wa mazishi yake yaliyofanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam jana.

No comments: