Tangazo

January 1, 2012

ONGEZEKO LA NAULI ZA VIVUKO NCHINI

Waziri wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo wakati akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Jan. 1,2012 kuhusu ongezeko  la  viwango vya nauli katika vivuko vyote vya serikali nchini,  ambapo kuanzia Jan, 1 ,2012, Wizara yake kupitia Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) imeongeza viwango vya nauli kutokana na maeneo mbalimbali ya vivuko,   , amezitaja  nauli hizo kwa mfano  MV. Magogoni na Mv. Kigamboni kwa Mkoa wa DSM  ni kati ya shilingi 200 kwa watu wazima ,  watoto chini ya miaka 14, shilingi 50, na wanafunzi waliovaa sare za shule na vitambulisho ni bure, Pia akatoa mfano wa  Kivuko cha MV. Chato kitatoza  nauli ya watu wazima shilingi 3,000/, watoto chini ya miaka 14 ni elf 50 ,na wanafunzi wenye  sare za shule ni bure. Bei hizi zimepanda kutokana na gharama kupanda za uendesaji. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya TEMESA Prof, Idrissa Mshoro.  (Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO).

No comments: