Tangazo

January 3, 2012

RAIS KIKWETE AOMBOLEZA VIFO VYA AZIZ SHEWEEN NA BALOZI ATHUMANI MHINA

Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuia ya Wazazi ya CCM,
Balozi Athumani Mhina enzi za uhai wake.

Rais Jakaya Kikwete akiweka sahihi kwenye kitabu cha maombolezo ya kifo cha Aziz Sheween, Mikocheni jijini Dar es salaam, Jumatatu jioni nyumbani kwa Afisa huyo wa Mambo ya Nje Mkuu Daraja la I katika Ubalozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, kilichotokea huko Riyadh, Saudi Arabia.

Rais Kikwete akiwa na familia na waombolezaji nyumbani kwa  marehemu Aziz Sheween, Afisa Mambo ya Nje Mkuu Daraja la I katika Ubalozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, aliyefariki huko Riyadh, Saudi Arabia.

Rais Kikwete akiagana na familia ya marehemu ya Aziz Sheween, Afisa Mambo ya Nje Mkuu Daraja la I katika Ubalozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, aliyefairiki  juzi huko Riyadh, Saudi Arabia.

Rais Kikwete akiweka sahihi kwenye kitabu cha maombolezo alipofika Madale jijini Dar es salaam, Jumatatu jioni  nyumbani kwa Mwenyekiti wa  Taifa wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Balozi Athumani Mhina aliyefariki  dunia usiku wa kuamkia jana kuamkia jana alipokuwa akipelekwa katika Hospitali ya Jeshi Lugalo kutibiwa shinikizo la damu.

Rais Kikwete akipata maelezo alipofika nyumbani kwa Mwenyekiti wa  Taifa wa Jumuia ya Wazazi ya CCM, Balozi Athumani Mhina aliyefariki  dunia usiku wa kuamkia jana kuamkia jana alipokuwa akipelekwa katika Hospitali ya Jeshi Lugalo kutibiwa shinikizo la damu.

Waombolezaji wakiwa nyumbani kwa Mwenyekiti wa  Taifa wa Jumuia ya Wazazi ya CCM, Balozi Athumani Mhina aliyefariki  dunia usiku wa kuamkia jana kuamkia jana alipokuwa akipelekwa katika Hospitali ya Jeshi Lugalo kutibiwa shinikizo la damu.

Waombolezaji wakiwa Madale, nyumbani kwa hayati Balozi Mhina.

 Makada wa CCM wakiwa msibani kwa marehemu Balozi Mhina.


Rais Kikwete akiagana na waombolezaji  nyumbani kwa Mwenyekiti wa  Taifa wa Jumuia ya Wazazi ya CCM, Balozi Athumani Mhina aliyefariki  dunia usiku wa kuamkia jana kuamkia jana alipokuwa akipelekwa katika Hospitali ya Jeshi Lugalo kutibiwa shinikizo la damu.

Rais Kikwete akiwa msibani  nyumbani kwa Mwenyekiti wa  Taifa wa Jumuia ya Wazazi ya CCM, Balozi Athumani Mhina aliyefariki  dunia usiku wa kuamkia jana kuamkia jana alipokuwa akipelekwa katika Hospitali ya Jeshi Lugalo kutibiwa shinikizo la damu.

No comments: