Tangazo

January 10, 2012

WAGOMBANIA TOFALI WAKIDHANI LINA PESA, WAKUTA BIBLIA






Wakazi wa Jiji la Dar, leo wametaka kutoana ngeu wakati wakigombania tofali walilodhani ndani yake kuna pesa baada ya kuona rangi nyekundu imejitokeza lakini hatimae baada ya kulivunja walikuta BIBLIA yenye UJUMBE. Tukio hili limetokea katikati ya Jiji katika makutano ya Barabara za Mitaa ya Makunganya na Upanga almaarufu na AZAM TAKE AWAY. PICHA/DAILY MITIKASI BLOG

No comments: