Tangazo

February 9, 2012

Rais Kikwete akutana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Johnnie Carson na Ujumbe wake Ikulu jijini Dar leo

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Bw. Johhnie Carlson na Ujumbe wake walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo January 9, 2012.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Bw. Johhnie Carlson na Ujumbe wake pamoja na waziri wa Nishati na Madini Mh Williuam Ngeleja walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo January 9, 2012.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Bw. Johhnie Carlson alipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo January 9, 2012. PICHA NA IKULU

No comments: