Baadhi ya madaktari na wauguzi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipozungumza nao kwenye Hospitali ya taifa ya Muhimbili, Februari 9, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya madaktari na wauguzi wa hospitali ya taifa ya Muhimbili baada ya kuzungumza nao Februari 9, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
No comments:
Post a Comment