Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na washiriki wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa wa Wakaguzi wa Hesabu za Serikali wa Nchi zinazoongea kiingereza barani Afrika kwenye hoteli ya Impala, Arusha Aprili 16, 2012. Kulia kwake ni Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa Hesabu za Serikali, Ludovick Utouh. na kulia ni Naibu Waziri wa Fedha, Gregory Teu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
No comments:
Post a Comment