Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Sazi Salula akitoa Maelezo kuhusu Ukuta wa Ukingo wa Bahari ya Pangani wakati wa Ziara yake aliyoifanya huko Pangani kufuatia Maagizo ya Makamu wa Rais Dkt Muhammed Gharib Bilal alipofanya ziara hivi karibuni Mkoa wa Tanga. [Picha na Ali Meja] |
No comments:
Post a Comment